English language German language French language    Dutch language    Spanish language    Russian language    home



Bilingual children's book (Swahili – Kurmanji Kurdish)


► Reading age 2 and up

► Good dreams to your child!


Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki...

"Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50 na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo.

♫ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha "Lala Salama, Mbwa Mwitu Mdogo" kama MP3 audiobook kwa Kiswahili.

MPYA: Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.

Tim nikare di xew re here. Gurê wînî piçûk wunda bûye! Belkî ku Tim wî ji derve ji bîr kiribe, an? Bi tenê ji xwe re bi şev derikeve ‒ û dibîne ku va civak geriyaye...

"Xewnên xweş, gurê piçûk" çîrokeke ji xwendina di xewreçûnê re ye û ku ta niha ji zêdeyî 50 zimanan re hatiye wergerandin. Berhemeke duzimanî ye û bi hemu zimanan peyda dibe.



* for Apple (iPad), Sony Reader, Tolino, Kobo etc.



Looking for other languages of "Sleep Tight, Little Wolf"? → Take another chance on the Language Wizard!

Looking for another bilingual childrens book?

→ Have a look at "The Wild Swans"

→ Have a look at "My Most Beautiful Dream"


lulu dreaming



Data protection

Imprint / Contact